HASSAN Bumbuli, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa yule ambaye alitoa zawadi ya Ng'ombe kwa Fiston Mayele asihofu apeleke Ng'ombe mwingine.
"Zawadi ni zawadi kwa ambaye ameleta zawadi tunasema asante na kama ataleta mwingine hatuna tatizo tutampokea, "
Kwenye ligi Mayele amefunga mabao 10 na pasi tatu alipewa zawadi ya Ng'ombe baada ya kufunga mbele ya Mtibwa Sugar.

No comments:
Post a Comment