AIR MANULA KAKIMBIZA DAKIKA 180 - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 8 March 2023

AIR MANULA KAKIMBIZA DAKIKA 180


 SHUKRANI kwa Aishi Manula namna ambavyo amekuwa akizungumza na mabeki wake licha ya makosa ambayo hayazuiliki.


Manula kwenye mechi mbili mfululizo anga za kimataifa hajatunguliwa mechi ambazo amekaa langoni dhidi ya Vipers Uganda.

Kazi kubwa kwa safu ya ulinzi pamoja na viungo bila kusahau washambuliaji kwa kuwa kuwa wakati walikuwa wanarejea nyuma kulinda.

Dakika 180 bora kwa Simba zinapaswa kuwa na mwendelezo ambapo kwenye safu ya ushambuliaji ni muhimu kuongeza umakini ili kufunga mabao mengi zaidi.

Simba ipo nafasi ya pili kwenye kundi C ikiwa na pointi sita kibindoni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad