DAKIKA 45 za mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Biashara United v Yanga zimemeguka Uwanja wa CCM Kirumba leo Mei 23.
Ubao unasoma Biashata Uniteo 0-0 Yanga ambapo kila timu inacheza kwa kushambulia na mpira wa pasi nyingi.
Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara wamepiga jumla ya kona mbili ambazo hazijaleta matunda huku Biashara United wakicheza kona moja.
Hakuna mchezaji ambaye ameonyeshwa kadi ya njano wala kuumizwa kutokana na migongano ya ndani ya uwanja.
No comments:
Post a Comment