YANGA WAPOTEZA UGENINI KIMATAIFA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Sunday, 12 February 2023

YANGA WAPOTEZA UGENINI KIMATAIFA


 WAKIWA ugenini nchini Tunisia wawakilishi wa Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamepoteza mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi.


Dakika 90 ubao wa Uwanja wa Olympic Rades umesoma US Monastir 2-0 Yanga.

Pointi tatu zimeyeyuka mazima ugenini kwa Yanga ambayo ilifanikiwa kwenye umiliki wa mpira muda wote huku wapinzani wao wakimaliza kazi ndani ya dakika 30.

Mabao ya US Monastir yalipachikwa dakika ya 10 mtupiaji akiwa ni Mohamed Saghroui na dakika ya 15 na mtupiaji akiwa ni Traore.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad