Simba SC 3-0 Namungo FC
Oktoba Mosi 2025
Simba SC imekusanya pointi tatu kwenye mchezo dhidi ya Namungo FC Uwanja wa Mkapa. Beki Rushine alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo.
Zimeongezwa dakika 3
Dakika 90 zimekamilika
Dakika ya 88 jezi namba 30 piga kona kwa Namungo
Dakika ya 84 Mwalimu goal shoto ndani ya 18
Dakika ya 83 jezi namba 5 njano kwa Simba
Dakika ya 79 out Kante out in Hussen Semfuko, out Mutale in Kibu Dennis dk 79
Dakika ya 76 Namungo FC miss chance
Dakika ya 71 Farid out in Rodgers Gabriel
Dakika ya 71 Abdallah Mfuko out in Buswita
Dakika ya 68 Mukwala out in Seleman Mwalimu
Dakika ya 68 Morice Abraham out in Ahoua
Dakika ya 66 Yakoub sace
Dakika ya 61 jezi namba 35 piga faulo, goal Rushine ndani ya 18
Rushine save dk 59
Dakika ya 57 Mukwala cheza faulo
Dakika ya 55 Abraham chezewa faulo
Dakika ya 52 Namungo peleka mashambulizi Simba SC
Dakika ya 52 Maema of target
Dakika ya 45 Mpanzu out in Maema, Kabunda out in Lupindo Charles
Dakika 45 zimekamilika
zimeongezwa dakika 2
Dakika ya 51 Rushine save
Dakika ya 49 Chamou save
Dakika ya 46 Mutalr long pasi
Dakika 45 Morice rusha
Kapombe chezewa faulo na Dilunga
Dakika ya 43 Chamou goal header asisti Mutale kwa pigo la kona nje ya 18 mguu wa kulia
Dakika ya 43 Mpanzu shot inaokolewa na kipa
Dakika ya 42 Mpanzu shot pasi
Dakika ya 41 Kapombe save
Dakika ya 39 Kapombe cheza faulo
Dakika ya 38 Mutale piga kona
Dakika ya 38 header gonga besela
Dakika ya 36 Mukwala on target
Dilunga piga kona ya kwanza katika mchezo
.jpg)
No comments:
Post a Comment