Tanzania ina timu tatu kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika msimu wa 2025/26.
Klabu ya Azam FC ya Tanzania imepangwa kucheza na El Merriekh Bentiu ya Sudan Kusini kwenye hatua za awali michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
KMKM ikipangwa kucheza dhidi ya AS Port ya Djibouti. Azam FC msimu wa 2024/25 ilikuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu itakuwa katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) ambapo Tanzania inawakilishwa na klabu tatu jumla. Klabu mbili kutoka Tanzania bara na moja kutoka Zanzibar.
Singida Black Stars ya Tanzania kwenye anga la kimatafa itaanzia ugenini ambapo kwenye mchezo wa awali wa Kombe la Shirikisho Afrika.
Ni Rayon Sports ya Rwanda kwenye anga la kimataifa imepangwa kucheza na Singida Black Stars ambapo ni Singida Black Stars watakuwa ugenini.
Agosti 9 2025 droo imechezwa katika studio za Azam TV, Dar ikiwa ni hatua za awali kwenye anga la kimataifa msimu mpya wa 2025/26.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.
No comments:
Post a Comment