CAF Champions League: Simba SC 0-1 Petro de Luanda - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Sunday, 23 November 2025

CAF Champions League: Simba SC 0-1 Petro de Luanda


CAF Champions League

Uwanja wa Mkapa

FT: Simba SC 0-1 Petro de Luanda

Novemba 23,2025

 Bernardo Dias dakika ya 78. Pasi ya goli hilo pekee la ushindi imetoka kwa Tiago Reis.

 Kipindi cha pili 

Dakika ya 90 Jean Ahoua anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 84 Kante out in Mukwala

Dakika ya 78 Goal kwa Petro de Luanda, Benrnardo

Dakika ya 74 Ladack Chasambi of target 

Dakika ya 72 Ladack Chasambi anaingia anatoka Abrahm Morice 

Dakika ya 65 Sowah anachezewa faulo

Dakika ya 64 Yakoub anaokoa hatari

Mpanzu cheza faulo dk 55

Ahoua in out Camara dk 53

Sowah in out Mutale dk 53

Mpanzu mis chance dk 52

Dakika ya 50 Rushine cheza faulo ndani ya 18

Dakika ya 46 Nangu piga faulo

Dakika 2 zimeongezwa kipindi cha pili

Dakika ya 45 Nangu anaokoa hatari

Dakika ya 37 Mutale cheza faulo

Dakika ya 34 De Reuck anapiga faulo 

Dakika ya 32 De Reuck of target 

Dakika ya 22 Morice anakosa nafasi ya wazi ndani ya 18 kwa pasi ya Shomari Kapombe 

Dakika ya 20 jezi namba 24 njano kwa kumchezea faulo Mpanzu

Dakika ya 17 Morice oftarget 

Dakika ya 16 Mutale chezewa faulo

Dakika ya 13 Mpanzu of target 

Dakika ya 7 Mutale ofside 

Dakika ya kwanza Mutale anzisha mpira

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad