YANGA SC 1-0 AS FAR RABAT LIGI YA MABINGWA AFRIKA, DUBE AFUNGA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 22 November 2025

YANGA SC 1-0 AS FAR RABAT LIGI YA MABINGWA AFRIKA, DUBE AFUNGA

 


CAF Champions League ubao wa Uwanja wa New Amaan Complex umesoma Yanga SC 1-0 AS FAR Rabat mchezo wa hatua ya makundi Jumamosi ya Novemba 22,2025.


Goli la ushindi limefungwa na mshambuliaji Prince Dube ambaye alianza kikosi cha kwanza. Ni dakika ya 58 Dube alipachika bao hilo kwa pasi ya kiungo Mudathir Yahya.

Kampeni za hatua ya robo fainali zimeanza huku Yanga SC kete ya kwanza wakikomba pointi tatu kundi B.

Msimamo kundi B huu hapa

1. Yanga SC pointi 3 mechi 1
2. JS Kabylie pointi 0 mechi 0
3. Al Ahly pointi 0 mechi 0
4. AS FAR Rabat pointi 0 mechi 1

Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro imeanza kwa ushindi ikiwa ni mchezo wa kwanza wakiwa nyumbani katika hatua ya makundi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad