UWANJA WA MKAPA SIMBA 2-1 SINGIDA BIG STARS - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 3 February 2023

UWANJA WA MKAPA SIMBA 2-1 SINGIDA BIG STARS


 VIUNGO wameamua kuonyesha makeke yao ndani ya Uwanja wa Mkapa ambapo ubao unasoma Simba 2-1 Singida Big Stars ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara.


Kiungo Clatous Chama amefikisha jumla ya pasi 14 akitoa ile ya kwanza kwa Jean Baleke dakika ya 8 na ile ya pili dakika ya 20 kwa Saidi Ntibanzokiza.


Bonge moja ya bao katunguliwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula na Bruno Gomez wa Sinigida Big Stars.


Kiungo huyo raia wa Brazil kafikisha bao lake la 9 ndani ya ligi na ni pigo la faulo kamtungua Manula akiwa nje kidogo ya 18.


Dakika 45 ni mwendo wa kushambuliana kwa zamu huku viungo wakionyesha vurugu kubwa uwanjani

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad