MWAMBA WA KAZI HUYU HAPA NDANI YA DODOMA JIJI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 21 January 2023

MWAMBA WA KAZI HUYU HAPA NDANI YA DODOMA JIJI

 


MIONGONI mwa vijana wanaokipiga ndani ya Dodoma Jiji kwa wakulima wa Zabibu ni pamoja na Zidane Omary Sereli.


Nyota huyo kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar alianza benchi akisoma mchezo utakavyokuwa.


Katika mchezo wa wa Januari 14 dhidi ya Geita Gold alianza kikosi cha kwanza.


Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Nyankumbu, Geita Dodoma Jiji ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 na kuyeyusha pointi tatu mazima.


Kituo kinachofuata ni Januari 22 dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad