RUVU SHOOTING WAJITUNGUA MBELE YA WANANCHI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Monday, 23 January 2023

RUVU SHOOTING WAJITUNGUA MBELE YA WANANCHI

 


MBELE ya Wananchi, Ruvu Shooting wamejihukumu wenyewe wakati wakipoteza pointi tatu jumlajumla.

Ruvu Shooting wamejitungua wenyewe dakika ya 34 kupitia kwa nyota wao Mpoki Mwakinyuke.

Licha ya Ruvu Shooting kujifunga bado Yanga ndani ya dakika 45 wameonyesha nguvu kubwa kuliandama lango la Ruvu Shooting wakimtumia mshambuliaji wao Fiston Mayele akishirikiana na Kennedy Musonda.

Shukrani kwa kipa waRuvu Shooting, Ismail Kahaki kwa jitihada kubwa kutimiza michomo uwanjani lakini lile la Mpoki ilikuwa ngoma nzito.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad