Mara ya mwisho kuwaongoza mastaa wa Simba ikiwa ni pamoja na Kibu Dennis, Meddie Kagere, Bernard Morrison ilikuwa ni Oktoba 22, Uwanja wa Boko Veteran.
Oktoba 26 alichimbishwa mazima na mabosi wa Simba baada ya timu hiyo kunyooshwa mabao 3-1 na Jwaneng Galaxy, Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa na kuangukia katika Kombe la Shirikisho.
No comments:
Post a Comment