HAJI Manara Ofisa Habari wa Yanga, Oktoba 26 baada ya kumaliza kuzungumza kuhusu mchezo wao dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Oktoba 30, safari ilikuwa kwenye ndinga yake matata.
Utaipenda, namna neema ya Mungu ilivyombariki Ofisa Habari wa Yanga pamoja na tabasamu kama lote.
No comments:
Post a Comment