HUYU HAPA ATAJWA KURITHI MIKOBA YA GOMES SIMBA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Tuesday, 2 November 2021

HUYU HAPA ATAJWA KURITHI MIKOBA YA GOMES SIMBA

 


IMEELEZWA kuwa Rhulani Mokwena ni moja ya makocha ambao wanapewa chapuo la kuibuka ndani ya kikosi cha Simba.


Kocha huyo ambaye anaifundisha Mamelodi Sundowns anaweza kuja kuchukua mikoba ya Didier Gomes ambaye alibwaga manyanga.


Mbali na jina la Mokwena pia Mserbia Milovan Cirkovic na Zdravko Logarusic pamoja na Josef Zinnbauer kocha wa zamani wa Orlando Pirates naye anatajwa kuingia kwenye rada za Simba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad