ACHA kazi iendelee kwa sasa kwa wakazi wa Dar ambao wapo katika harakati za kufika katika soko la Karume lazima wajipange hasa ikiwa watakuwa wanatokea Mabibo,Magomeni ama makumbusho kwa kuwa kuna ujenzi unaendelea.
Kutokana na wataalamu kuwa bize katika kuimarisha miundombinu kuna foleni fulani hivi ya kimtindo ila magari yanapita kama kawaida.
Karibu Tanzania
No comments:
Post a Comment