DAKIKA ZA JOHN BOCCO MBELE YA UGANDA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Tuesday, 6 September 2022

DAKIKA ZA JOHN BOCCO MBELE YA UGANDA


TUMEAMBULIA maumivu kwenye mchezo wa pili wa kuwania kufuzu Kombe la Mataifa kwa Wachezaji wa Ndani, (CHAN) baada ya kutolewa na Uganda kwa kufungwa mabao 3-0 ugenini.

Miongoni mwa wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambao walianza kwenye mchezo wa pili ugenini ni nahodha John Bocco.

Tupo naye kwenye  mwendo wa data kuangalia dakika zake 90 alichokifanya kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa St Marys namna hii:

Rusha mara 1

Kokota mara 3

Piga mpira kwa kichwa mara 9

Toa pasi kwa mguu wakulia mara 24

Toa pasi kwa mguu wa kushoto mara 6

Gusa kwa kifua mara 1

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad