RATIBA za mechi za Ligi Kuu England zinaweza kubadilika kutokana na kutangulia mbele za haki kwa Queens Elizabeth..
Miongoni mwa michezo ambayo ilipaswa kuchezwa Ijumaa ya Ligi Kuu England ambao ni Burnley v Norwich, Tnanmere v Stocport imeweza kughairishwa kutokana na kutangulia mbele za haki kwa Queen Elizabeth.
Hii yote inafanywa kutokana na heshima ya kiongozi huyo na majadiliano yalifanyika kwa pande zote huku Serikali pia kwa sas ikifanya majadiliano kuhusu ratiba zingine.
Kwenye mechi ya Manchester United kulikuwa na utulivu wa dakika moja kutokana na msiba huo.

No comments:
Post a Comment