NAHODHA wa kikosi cha Timu ya Chuo cha Uandishi wa Habari Dar es Salaam (DSJ) Gery Gerad amewataka wachezaji kujituma ili waweze kufikia malengo ya ndoto zao.
Akizungumza na Mwandishi wa Mtaasisi alisema kuwa kila mchezaji ana uwezwo mkubwa ambao unaweza kumfanya akawa tofauti na wengine endapo ataamua kujituma.
"Uwezo wa mchezaji hukua kadri juhudi za mchezaji zinapoongezeka pamoja na nidhamu binafsi ambayo huongeza umakini nje na ndani ya uwanja"alisema Gerad
miliki mpira kwenye mchezo dhidi timu ya ngazi ya Stashahada katika uwanja wa Kinesi
![]() |
| Nahodha wa timu ya DSJ Gerry Gerad aki |
"Uwezo wa mchezaji hukua kadri juhudi za mchezaji zinapoongezeka pamoja na nidhamu binafsi ambayo huongeza umakini nje na ndani ya uwanja"alisema Gerad
miliki mpira kwenye mchezo dhidi timu ya ngazi ya Stashahada katika uwanja wa Kinesi

No comments:
Post a Comment