AZAM FC YAIVUTIA KASI KMC - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 17 November 2021

AZAM FC YAIVUTIA KASI KMC


 WACHEZAJI wa Azam FC ambao walikuwa kwenye timu ya taifa ya Tanzania tayari wamejiunga na wengine kambini.


Jana Novemba 16 siku ya Jumanne walianza mazoezi kuivutia kasi KMC 


Nyota hao ni pamoja na Idd Seleman, Edward Manyama na Lusajo Mwaikenda.


Mchezo wao dhidi ya KMC unatarajiwa kuchezwa Novemba 21,Uwanja wa Uhuru.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad