AZAM FC YAMPA MIAKA MITATU MRITHI WA LWANDAMINA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Tuesday, 25 January 2022

AZAM FC YAMPA MIAKA MITATU MRITHI WA LWANDAMINA

 


Rasmi Ahamid Moallin ametangazwa kuwa Kocha Mkuu wa Azam FC.


Moallin alikuwa ni Kaimu Kocha Mkuu baada ya George Lwandamina kujiuzulu kutokana na timu hiyo kuwa na mwendo mbovu.


Amekuwa na matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni za ligi na aliongoza timu hiyo kwenye ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Prisons  


Amesaini dili la miaka mitatu kuinoa timu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad