SIMBA YAINYOOSHA MABAO 2-0 SELEM VIEW, KOMBE LA MAPINDUZI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 5 January 2022

SIMBA YAINYOOSHA MABAO 2-0 SELEM VIEW, KOMBE LA MAPINDUZI

 


SELEMAN Matola kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa ushindi ambao wameupata leo ni furaha kwao na pongezi kwa wachezaji.


Ushindi wa mabao 2-0 dhidi Selem View Uwanja wa  Amaan.


Ni mabao ya Pape Sakho dakika ya 24 na liliweza kudumu mpaka dakika 45 za kipindi cha kwanza.


Kipindi cha pili Simba walipachika bao dakika ya 53 na kuwafanya Simba kuondoka na ushindi katika kundi C na wanakibarua cha kusaka ushindi katika mchezo wao ujao dhidi ya Mlandege.


"Furaha kwetu kupata pointi tatu na pongezi kwa wachezaji namna ambavyo wameweza kufanya hivyo kazi bado inaendelea,".

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad