BAKARI Shime, Koch Mkuu wa timu ya taifa ya Wanawake chini ya miaka 20,Tanzanite Queens emesema kuwa timu ilicheza vizuri lakini haikutumia nafasi.
Katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu Kombea Dunia mbele ya Ethiopia, Tanzanite ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0.
Kichapo hicho kinaisepesha mazima Tanzanite Queens katika mbio za kufuzu Kombe la Dunia kwa kutolewa kwa jumla ya mabao 2-1 kwa sababu mchezo uliochezwa Uwanja wa Amaan,Tanzanite ilishinda bao 1-0.
Shime amesema:"Tumecheza vizuri lakini hatunaweza kutumia nafasi ambazo tulitengeneza katika mchezo wetu.
"Kipindi cha kwanza tulitengeneza nafasi mbili.za wazi na kipindi cha pili nafasi tatu za wazi,".
No comments:
Post a Comment