WAKATI SIMBA QUEENS IKISEPA NA USHINDI NYOTA JOELE ALITISHA KWA MAPIGO HURU - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 4 February 2022

WAKATI SIMBA QUEENS IKISEPA NA USHINDI NYOTA JOELE ALITISHA KWA MAPIGO HURU



NDANI ya dakika 180 msimu wa 2021/22 ambazo nimeweza kumuona akiwa katika majukumu yake ya kuitumikia Klabu ya Simba Queens, mguu wake unaonyesha kwamba ana kipaji kutoka moyoni.

Mgumu katika kucheza faulo mbaya lakini anashawishi kufanyiwa faulo.

Kazi za mipira yote iliyokufa ipo kwenye mguu wake wa kulia  na leo Februari 4,2022 wakati ubao wa Uwanja wa Mo Simba Arena ukisoma Simba 7-0 JKT Queens alitupia bao moja.

Bao lake hilo alitupia kwa pigo la penalti na alitumia mguu wake wa kulia kuwanyanyua mashabiki wa Simba.

Lakini licha ya kwenda hewani kimtindo ndani ya dakika 90 amepiga mpira wa kichwa mara moja tu katika mipira yote ambayo amepiga anaitwa Joele Bukulu.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad