SIMBA INAPITIA KIPINDI KIGUMU KWELIKWELI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 4 February 2022

SIMBA INAPITIA KIPINDI KIGUMU KWELIKWELI


 NGUMU sana kwa Simba kuwa katika ubora ikiwa tatizo la ubutu la safu ya ushambuliaji halitapatiwa dawa.


Licha ya ushindi wa bao 1-0 mbele ya Tanzania Prisons lililopachikwa na Meddie Kagere kwa mkwaju wa penalti. 


Jumla Simba inakuwa imefunga mabao 15 katika mechi 14 za ligi na  ni Chris Mugalu aliweza kupiga shuti lililolenga lango.


Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema kuwa makosa wameyaona na watayafanyia kazi.


"Makosa tumeyaona na tutayafanyia kazi kwa ajili ya mechi zetu zijazo,".

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad