MWAMBA wa Lusaka, kiungo Clatous Chama wakati Simba ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya ASEC Mimos wakati wa kushuka ndani ya ndinga alisahau viatu kisha akarudi tena kwenye ndinga.
No comments:
Post a Comment