HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BONGO - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Sunday, 15 May 2022

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BONGO


 MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili.

Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.

Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu.

Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad