VIDEO:ISHU YA PENATI YA MAYELE YANGA YATOA NENO,HESABU ZIPO HIVI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Thursday, 12 May 2022

VIDEO:ISHU YA PENATI YA MAYELE YANGA YATOA NENO,HESABU ZIPO HIVI


 HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kwamba ambacho mashabiki wanatakiwa kukifanya kwa sasa ni kuendelea kuwa bega kwa bega na timu hiyo na kusahau makosa ambayo yamepita kwa timu hiyo kushindwa kupata matokeo.

Pia amezungumzia suala la mshambuliaji wao namba moja Fiston Mayele kushindwa kufunga penalti mbele ya Tanzania Prisons

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad