KOCHA TUCHEL AFUTWA KAZI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 7 September 2022

KOCHA TUCHEL AFUTWA KAZI


 THOMAS Tuchel ambaye alikuwa Kocha Mkuu wa Chelsea amefutwa kazi na mabosi wa timu hiyo.

Hiyo inatokana na mwendo wa kusuasua kwenye Ligi Kuu England pamoja na Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Jumanne alipoteza kwenye mchezo dhidi ya Dinamo Zagre jambo ambalo limeongeza presha kwake kuweza kuondolewa.

Ni mechi 100 ameweza kuongoza akiwa ndani ya Chelsea ambayo inashiriki Ligi Kuu Engalnd.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad