GEITA GOLD 0-2 SIMBA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Sunday, 18 December 2022

GEITA GOLD 0-2 SIMBA


 MABAO mawili yamepachikwa ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Mwanza.


Ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba unasoma Geita Gold 0-2 Simba.


Ni John Bocco nahodha wa Simba amepachika bao la kuongoza dakika ya 11 kisha kamba ya pili ni mali ya Clatous Chama.


Chama amepachika bao hilo dakika ya 40 zikiwa zimebaki dakika 45 kufika muda wa mapumziko kwenye mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad