Mheshimiwa Lunyamadzo Mlyuka amesema kuwa wanafunzi wanatakiwa kushirikiana na viongozi ili kumaliza matatizo sugu yanayowakumba. Aidha amesema kuwa yeye ni mwanafunzi hivyo anahitaji umoja wao.

No comments:
Post a Comment