WANAFUNZI wa chuo cha uandishi wa habari Dar es Salaam
wameuomba uongozi wa chuo kuwapa namba za maomo ili waweze kusoma ratiba ya mtihani kwa umakini na kuelewa masomo watakayoanza nayo kwenye mitihani
Zainabu Hamisi mwanafunzi wa ngazi ya stashahada amesema kuwa ratiba inamchanganya kila anapoisoma hali inayomfanya asielewe kipi ni kipi kwenye mpangilio mzima wa ratiba na masomo
watakayofanya.
"Ratiba naiona ila inakuwa ngumu kuielewa maana namba za masomo na mpangilio wa ratiba umekuwa ukinifanya nishindwe kuelewa kipi ni kipi katika namba za masomo na somo lipi litaanza hivyo naomba tupewe namba za masomo pia".Amesema
Naye Smita Ratan Waziri wa habari na taarifa wa chuo cha DSJ amesema kuwa wamelipokea jambo hilo na wanalifanyia kazi kwa kuwa kazi kubwa ya wizara ni kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa na taarifa zinazowahusu
"Tunatambua wajibu wa wanafunzi ni kuwa wafuatiliaji nasi jukumu letu ni kuhakikisha tunaweza kuwapa taarifa sahihi na kwa wakati sahihi zaidi hivyo naamini utekelezaji tu ndio umebaki wasiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa".Amesema
Wanafunzi wa chhuo cha uandishi wa habari DSJ wapo kwenye maandalizi ya kuelekea kufanya mitihani yao kwa ajili ya kumalizia muhula wa masomo kwa mwaka 2016
wameuomba uongozi wa chuo kuwapa namba za maomo ili waweze kusoma ratiba ya mtihani kwa umakini na kuelewa masomo watakayoanza nayo kwenye mitihani
| Wanfunzi wa DSJ wakiwa kwenye mabenchi wakijisomea |
watakayofanya.
"Ratiba naiona ila inakuwa ngumu kuielewa maana namba za masomo na mpangilio wa ratiba umekuwa ukinifanya nishindwe kuelewa kipi ni kipi katika namba za masomo na somo lipi litaanza hivyo naomba tupewe namba za masomo pia".Amesema
Naye Smita Ratan Waziri wa habari na taarifa wa chuo cha DSJ amesema kuwa wamelipokea jambo hilo na wanalifanyia kazi kwa kuwa kazi kubwa ya wizara ni kuhakikisha kuwa wanafunzi wanakuwa na taarifa zinazowahusu
"Tunatambua wajibu wa wanafunzi ni kuwa wafuatiliaji nasi jukumu letu ni kuhakikisha tunaweza kuwapa taarifa sahihi na kwa wakati sahihi zaidi hivyo naamini utekelezaji tu ndio umebaki wasiwe na wasiwasi kila kitu kitakuwa sawa".Amesema
Wanafunzi wa chhuo cha uandishi wa habari DSJ wapo kwenye maandalizi ya kuelekea kufanya mitihani yao kwa ajili ya kumalizia muhula wa masomo kwa mwaka 2016
No comments:
Post a Comment