AZAM FC inayonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina baada ya kucheza mechi 6 za Ligi Kuu Bara imekusanya pointi 7 msimu wa 2021/22.Ipo nafasi ya 10 na imetupia mabao matano huku ikiwa imeruhusu mabao ya kufungwa 7.
No comments:
Post a Comment