Watupiaji ndani ya Ligi Kuu England, tano bora msimu wa 2021/22
Mohamed Salah wa Liverpool ametupia mabao 11 akiwa na pasi 7 za mabao na amecheza mechi 12 ana wastani wa kufunga bao moja ndani ya dakika 98.
Sadio Mane wa Liverpool ametupia mabao 7 pasi moja ya bao amecheza mechi 12 na ana wastani wa kufunga kila baada ya dakika 143 akiwa uwanjani.
Jamie Vardy wa Leicester City qna mabao 7 pia ametoa pasi moja ya bao huku akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 147.
Michail Antonio wa West Ham United yeye ametupia mabao 6 na pasi tatu za mabao akiwa amecheza mechi 11 ana wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dakika 164.
Namba tano no Diogo Jota wa Liverpool mwamba huyu ametupia mabao matano akiwa na pasi moja ya bao amecheza mechi 11 na ana wastani wa kufunga kila baada ya dakika 152.

No comments:
Post a Comment