AZAM FC KUSAJILI WAPYA WATATU - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 10 November 2021

AZAM FC KUSAJILI WAPYA WATATU

 


WAKATI vijana wa Azam FC wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22, imeelezwa kuwa mabosi wa timu hiyo watawapiga chini nyota watatu katika dirisha dogo na kuwavuta wengine watatu.


Mpango kazi unatajwa kuchorwa kutoka Rwanda kwa lengo la kuboresha kikosi hicho ambacho kimeanza kwa kasi ya upole ndani ya Ligi Kuu Bara.


Mmoja wa mabosi wa Azam FC ameweka wazi kuwa Azam FC inatafuta kiungo mmoja matata sana,beki wa kazi chafu pamoja na mshambuliaji wa kufunga mabao kila mechi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad