KIKOSI cha Simba kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.
Mabao ya Meddie Kagere dakika ya 17 na 36 na Kibu Dennis ilipachika bao dk 44.
Ruvu Shooting ni Shaban Msala alipachika bao dk 70.

No comments:
Post a Comment