SURE BOY MALI YA YANGA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 24 December 2021

SURE BOY MALI YA YANGA

 


Salum Aboubakhari maarufu kama Sure Boy anatarajiwa kutambulishwa ndani ya kikosi cha Yanga muda wowote baada ya kukamilisha dili lake.


Anajiunga na Yanga akiwa mchezaji huru baada ya kumalizana na mabosi  wake wa zamani Azam FC.


Aliomba kuvunja mkataba Azam FC na mabosi wake hao walikubali iwe hivyo kiroho safi bila malipo yoyote yale.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad