VIDEO:NAMNA MASTAA WA YANGA WALIVYOTUA DAR - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 1 December 2021

VIDEO:NAMNA MASTAA WA YANGA WALIVYOTUA DAR

BAADA ya kumaliza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya Kwanza jana Novemba 30 na kupata ushindi wa mabao 2-0 leo wamerejea Dar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya Simba.
 
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa,Desemba 11 ambapo mastaa wa Yanga walikuwa wakigomea kuizungumzia mechi hiyo ijayo.

 Mayele mwenye mabao matatu ndani ya Ligi Kuu Bara na aliweza kufunga kwenye mchezo wa jana dhidi ya Mbeya Kwanza alisema kuwa hawezi kuzungumzia kwa sasa kuelekea kwenye mchezo dhidi ya Simba. 

 Ikumbukwe kwamba walipokutana kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii, Septemba 25,2021 ni Mayele alifunga bao la ushindi lililowapa taji la kwanza Yanga msimu wa 2021/22.

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad