NDANDA FC ilipoteza katika mchezo wa Championship kwa kufungwa mabao 2-1 Uwanja wa Uhuru ilikuwa ni Novemba 28.Ndanda FC walipata bao kwa pigo la penalti na ilikuwa namna hii ambapo ilimshinda kipa namba moja wa DTB, Handsome Boy Chaima.
No comments:
Post a Comment