WACHEZAJI wa Simbe leo Desemba 29 wamefanya mazoezi Uwanja wa Bunju Complex ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Januari 2022 na hivi ndivyo ambavyo waliweza kuwasili.
No comments:
Post a Comment