SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MAZIMA MBELE YA AZAM FC - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 1 January 2022

SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MAZIMA MBELE YA AZAM FC

 


NI Januari Mosi,2022 mchezo wa Ligi Kuu Bara umekamilika kwa Simba kufungua mwaka kwa kusepa na pointi tatu mazima.


Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 2-1 Azam FC.


Mabao ya Sadio Kanoute na Sakho kwa Simba huku bao la Azam FC likifungwa na Zulu.


Katika mchezo wa leo mpaka muda mapumziko timu zote mbili zilikwenda vyumba vya kubadilishia nguo wakiwa hawajafungana.


 Rally Bwalya alikosa penalti baada ya kipa wa Azam FC kuweza kuipangua.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad