LEO Januari 26, Uwanja wa Kaiataba unatarajiwa kuchezwa mchezo wa
Ligi Kuu Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba ambapo washambuliaji
wote leo wamewekwa benchi na Kocha Mkuu, Pablo Franco.
John Bocco na Meddie Kagere pamoja na Yusuf Mhilu hawa wote wameanza kusoma mchezo nje na ndani ni viungo na mabeki wameanza.
Hiki hapa kikosi cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza namna hii:-
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Joash Onyango
Henock Inonga
Sakho
Mzamiru Yassin
Bernard Morrison
Clatous Chama
Rally Bwalya
Akiba
Beno
Israel
Gadiel
Kennedy
Nyoni
Dilunga
Kagere
Bocco
Mhilu
No comments:
Post a Comment