KAITABA NGOMA NZITO - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 26 January 2022

KAITABA NGOMA NZITO

 


UWANJA wa Kaitaba mapumziko kwa sasa na hakuna timu ambayo imeweza kufunga muda huu.


Kagera Sugar wapo nyumbani na wametoka kushinda mbele Dodoma Jiji kwa mabao 2-1.


Shambulizi la hatari hakuna ambalo limefanywa na timu zote huku mikono ya Said Kipao ikiwa imara na Aishi Manula naye akitimiza majukumu yake.


Mzamiru Yassin alikosa nafasi ya wazi kipindi cha kwanza alitengenezewa na Morrison Bernard na Kagera Sugar wao wanacheza kwa tahadhari kubwa.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad