UWANJA WA MANUNGU MTIBWA SUGAR 0-0SIMBA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 22 January 2022

UWANJA WA MANUNGU MTIBWA SUGAR 0-0SIMBA

 


UWANJA wa Manungu dakika 45 zimekamilika kwa timu zote kuenda mapumziko wakiwa wametoshana nguvu.


Ubao unasoma Mtibwa Sugar 0-0 Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara.


Timu zote zipo kwenye ubora ambapo Uwanja wa Manungu ni changamoto kwa timu zote mbili.


Kiungo Said Ndemla wa Mtibwa Sugar ni moto mkali ndani ya dakika 45 huku Inonga Banka akiwa katika kazi kubwa kuzuia.


Shaban Kado langoni amekuwa imara kama ilivyo Aishi Manula wa Simba.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad