MABAO 9 YAKUSANYWA MZUNGUKO WA 17 - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 12 March 2022

MABAO 9 YAKUSANYWA MZUNGUKO WA 17



BAADA ya kukamilika kwa mzungukonwa 17 wa Ligi Kuu Bara ni mabao 9 yalijazwa kimiani kwa katika viwanja 7 ambavyo vilitumika.


Mchezo uliokusanya mabao mengi ulikuwa ni ule uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ni jumla ya mabao 5 yalipatikana. Baada ya dk 90 ubao ulisoma KMC 2-3 Coastal Union. 


Timu 3 zilipoteza zikiwa nyumbani ilikuwa ni Azam FC ilifungwa bao 1-0 na KMC zote zilitumia Uwanja wa Azam Complex ni Geita Gold ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa CCM Kirumba na Yanga yenye Fiston Mayele. 


Sare zilipatikana nne katika mzunguko wa pili huku Simba ikifanikiwa kushinda ikiwa nyumbani Uwanja wa Mkapa kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji .


Leo Machi 12,2022 ni mzunguko wa 18 unatarajiwa kuanza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad