YANGA WAMTEMBELEA ALLY YANGA,WAFANYA DUA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 4 March 2022

YANGA WAMTEMBELEA ALLY YANGA,WAFANYA DUA

 


UONGOZI wa Yanga jioni ya Machi 3,2022 waliweza kumtembelea mtoto Ally Kimara maarufu kama Ally Yanga ambaye ni shabiki wa Yanga na mchezaji ambaye anampenda ni Fiston Mayele. 


Viongozi wa Yanga waliweza kufanya dua pia na Ally Yanga katika na kumuombea dua njema na kusema kuwa haitakuwa mwisho kutenda matendo ya huruma.


Haji Manara, Ofisa Habari wa Yanga aliomba dua na kumuombea afya njema mtoto huyo.


Mayele amesema kuwa anamuombea dua mtoto huyo kwa kuwa anamapenzi na Yanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad