SAUTI:NABI ACHEKELEA USHINDI APIGA MKWARA - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Monday, 16 May 2022

SAUTI:NABI ACHEKELEA USHINDI APIGA MKWARA


NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amefurahia ushindi wake wa jana Mei 14 mbele ya Dodoma Jiji wa mabao 2-0 huku akiweka wazi kuwa kazi bado inaendelea.

Kwa upande wa mshambuliaji Fiston Mayele mwenye mabao 12 na pasi 3 za mabao amesema kuwa watapambana kushinda mechi zijazo na anaamini kwamba atafunga tu.

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad