USHINDI wa penalti 4-3 walioupata Timu ya Taifa
ya ya Taifa ya Uholanzi yenye staa wao Virgil van Dijk umewapa tiketi ya
kutinga hatua ya nusu Fainali Kombe la Dunia Qatar 2022.
Argentina walionekana tangu mwanzo wanahitaji
kufanya jambo baada ya nyota wao Nahuel Molina kufunga bao la ufunguzi dakika
ya 33 likiwa ni bao lake la kwanza akiwa na timu ya Taifa ya Argentina na lile
bao la pili lilifungwa na Lionel Messi zikiwa zimebaki chini ya dakika 20 mpira
kugota ukingoni alifunga bao hilo dakika ya 73 kwa mkwaju wa penalti.
Lakini nyota wa Uholanzi ambaye aliingia kutoka
benchi Wout Weghorst alibadili mambo kwa kufunga mabao mawili kwa Timu ya Taifa
ya Uholanzi dakika ya 83 na lile la pili ilikuwa dakika ya 90+11 na kufanya ubao
wa Uwanja wa Lusail Iconic kusoma Uswisi 2-2 Argentina.
Kwenye muda wa nyongeza kukamilisha dakika 120, Uholanzi walipata pigo baada ya staa wao Denzel Dumfries kuonyeshwa kadi nyekundu dakika
ya 128 na kufanya wachezaji wawe pungufu kukamilisha dakika zilizobaki.
Messi alikuwa kwenye uangalizi mkubwa katika
mchezo huo uliokusanya jumla ya mashabiki 88,235.
Staa Messi alikuwa kwenye uangalizi
mk
wazi kuwa wamekuwa wakipewa sapoti kubwa na mashabiki waArgentina jambo
ambalo linawafanya wapambane bila kuchoka.
Kwenye mikwaju ya penalti ambayo iliamua mshindi ambaye
atasonga mbele kipa Emiliano Martinez kipa wa Timu ya Taifa ya Argentina
aliokoa penalti mbili kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali.
Ni ile iliyopigwa na beki kitasa wa Timu ya Taifa ya
Uswisi Virgil van Dijk na Berghuis, jambo lililowapa mlima mzito kuweza kutusua
kwenye hatua hiyo.
Argentina sasa kwenye hatua ya nusu fainali watamenyana na
Timu ya Taifa ya Croatia, Uwanja wa Lusail Desemba 13,2022.

No comments:
Post a Comment