SIMBA NDANI YA BUKOBA, MKUDE NDANI - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Tuesday, 20 December 2022

SIMBA NDANI YA BUKOBA, MKUDE NDANI


 LEGEND Jonas Mkude ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha Simba ambao wapo kwenye msafara uliowea kambi Bukoba.


Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba.


Ikumbukwe kwamba Simba msimu wa 2021/22 ilinyooshwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa Kaitaba kwa bao la Kiiza Diego ambaye alifunga akitokea benchi.


Pia alionyeshwa kadi mbili za njano zilizofanya akaonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo huo ambao Simba walianza kupoteza dira ya kutetea ubingwa wao ambao ulisepa na Yanga.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad