Tambo mashabiki wa Simba na Azam noooma - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Friday, 13 January 2017

Tambo mashabiki wa Simba na Azam noooma

Azam
msimbazi
MASHABIKI wametambiana kuoneshana ubabe leo katika mchezo wa fainali utakaofanyika Visiwani Zanzibar kati ya Simba na Azam ambao watakutana leo kumenyana

Salama Juma ambaye ni shabiki wa Simba amesema kuwa ushindi unaelekea Mtaa wa Msimbazi kwa kuwa wameweza kushinda mechi nyingi kuliko timu nyingine katika michezo yote

Haji balou shabiki wa Azam alisema kuwa kipigo cha nne bila walichotoa kwa Yanga kinatosha kuwafanya waweze kuwa wababe hivyo wanatuma salamu Msimbazi wajipange.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad