Hizi picha za Kasi J. Bennett ambaye ni mpenzi wake Usain Bolt, - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Wednesday, 16 August 2017

Hizi picha za Kasi J. Bennett ambaye ni mpenzi wake Usain Bolt,

Baada ya kumaliza mbio zake nchini Uingereza ,Mjamaica Usain Bolt ameanza kula bata na mpenzi wake Kasi Bennett na jumanne hii staa huyu wa riadha aliPop champagne kwenye club maarufu ya Cirque le Soir mjini London
Hizi ni picha za mpenzi wake Usain Bolt Kasi Bennett
     

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad